FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

Mimi ni Yanga ila hili gori ni la uonezi kabisa yaani hata sijashangilia.
Kama kweli sio la halali basi GG lazima warudishe Riziki ya mtu haiibiwi
Mimi Yanga na goal sio halali. Ila makosa ya referee yaheshimiwe, tumeshanyimwa magoli kwa ajili yao pia kumbuka. So hakuna goal kurudi hapa

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hii ni aibu ya Taifa. Refa na ma lains men wote wanaishabikia timu pendwa.
Toka nizaliwe sijawahi kuona faulo inageuka penati.
 
Mwanzo alikuwa ni Makambo tukasema hamna kitu, saizi ni Mayele tena mazingira yale yale naye kakosa

Tuseme bahati mbaya au tutumie maneno yale yale?
 
Back
Top Bottom