Mungu Ibariki Geita Gold Mines ishinde huu mchezo dhidi ya Young African sports clubKaribuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Geita Gold na Yanga Sports Club utakaochezwa saa10 jioni Estadio De CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Huu ni mchezo wa namba 45 wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023 bila Yanga Kupoteza Mechi.
Geita Gold akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya Yanga Sports Club
.
Karibuni Wakuu.
GEITA GOLD LEO TUNAJAMBO LETU
TUTAPIGA PALE AL HILAL ALIPOPIGA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Engineer Hersi amesema mechi ya leo Yanga ndio inaanza rasmi mbio za ubingwa.Mungu Ibariki Geita Gold Mines ishinde huu mchezo dhidi ya Young African sports club
Acha ulalalimishi ili delay UEFA final Madrid vs Liverpool itakuwa NBC?Mambo ya Bongo
Ratiba ya mechi imeandika mechi itaanza saa 10 kamili, lakini dakika ya pili mchezo neio unaanza
Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Geita Gold na Yanga Sports Club utakaochezwa saa10 jioni Estadio De CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Huu ni mchezo wa namba 45 wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023 bila Yanga Kupoteza Mechi.
Geita Gold akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya Yanga Sports Club
.
Karibuni Wakuu.
Sare uchi uchiFinal outcome itakuwa Yanga 1 -GGM 0[emoji41][emoji41]
Mzee mlozi chezesha tunguli chama letu geita ashinde😁😁Mungu Ibariki Geita Gold Mines ishinde huu mchezo dhidi ya Young African sports club
Na tepsie aitweje wenzake wako national Duties yeye anazurula tuDenis Nkane the Wonder kid... On fire
Ndio maana bado tuna imani na Nabi na Kaze, hawa ni makocha Wawili wenye hadhi sawa ila Nabi ndio mkuu kimkataba tu.
Tepsie Ni mzuri lakini Nkane n boraNa tepsie aitweje wenzake wako national Duties yeye anazurula tu