FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Geita Gold na Yanga Sports Club utakaochezwa saa10 jioni Estadio De CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Huu ni mchezo wa namba 45 wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023 bila Yanga Kupoteza Mechi.

Geita Gold akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya Yanga Sports Club
.
Karibuni Wakuu.
Mungu Ibariki Geita Gold Mines ishinde huu mchezo dhidi ya Young African sports club
 
GEITA GOLD LEO TUNAJAMBO LETU
TUTAPIGA PALE AL HILAL ALIPOPIGA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
giphy.gif
 
Mungu Ibariki Geita Gold Mines ishinde huu mchezo dhidi ya Young African sports club
Engineer Hersi amesema mechi ya leo Yanga ndio inaanza rasmi mbio za ubingwa.

Hesabu gape ya point 6 ili usiwe disappointed.
 
Mambo ya Bongo

Ratiba ya mechi imeandika mechi itaanza saa 10 kamili, lakini dakika ya pili mchezo neio unaanza
Acha ulalalimishi ili delay UEFA final Madrid vs Liverpool itakuwa NBC?
 
Yanga wanapata shot on target moja na offtarget moja
 
Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Geita Gold na Yanga Sports Club utakaochezwa saa10 jioni Estadio De CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Huu ni mchezo wa namba 45 wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023 bila Yanga Kupoteza Mechi.

Geita Gold akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya Yanga Sports Club
.
Karibuni Wakuu.

Final outcome itakuwa Yanga 1 -GGM 0[emoji41][emoji41]
 
Kuna cross imegonga mwamba hapa

Ilikuwa hatari kwenye lango la Geita
 
Ndio maana bado tuna imani na Nabi na Kaze, hawa ni makocha Wawili wenye hadhi sawa ila Nabi ndio mkuu kimkataba tu.

Kaze Uwezo Mdogo Bhn….Akiachiwa Timu Mechi Tatu Tu Tunaanza Kuwa Utopolo Tena [emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom