Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Mungu Ibariki Geita Gold Mines ishinde huu mchezo dhidi ya Young African sports clubKaribuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Geita Gold na Yanga Sports Club utakaochezwa saa10 jioni Estadio De CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Huu ni mchezo wa namba 45 wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023 bila Yanga Kupoteza Mechi.
Geita Gold akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya Yanga Sports Club
.
Karibuni Wakuu.