FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

Geita sijui wanachezaje chezaje, yani sijui ndio presha tuseme
 
Yanga hata kama wakianzisha kikosi dhaifu wasijidanganye watamtoa yule muarabu.
yule muarabu atatuletea kelele hapa kwa Mkapa

Yule hapa atafungwa tu

Kule kwao najua Yanga atapigwa goli nyingi na kutolewa tatizo lipo hapa nyumbani
 
Saido kwenye freekick naona hayuko vizuri leo
 
Yanga hata kama wakianzisha kikosi dhaifu wasijidanganye watamtoa yule muarabu.
Wivu ni ugonjwa mbaya sana, wana maajabu gani hawa?
 

Attachments

  • FB_IMG_1666586783865.jpg
    14.7 KB · Views: 4
Wivu ni ugonjwa mbaya sana, wana maajabu gani hawa?
Wewe ni Tp mazembe?

Acha kufanya comparison za kipumbavu


Mazembe alimfunga uyo 8 kipindi anachukua club bingwa wewe una club bingwa?
 
Hawa wachezaji maduka ya yanga ilibidi watokee benchi.Yaani Saido na mahadhi wanarukaruka tu uwanjani au ndio miamala ineshafanya kazi?
 
35'

Yanga bado wanashambulia kwa kasi.

Morrison mambo mengi anapoteza mpira
 
36'

Yondan anamfanyia madhambi Nkane.

Anapokea kadi ya njano hapa
 
36'

Geita wanafanya shambulizi la kushtukiza. Kipyenga kinapulizwa kuashiriwa ni offside.
 
37'
Nkane anatembea na mpira kwa spidi anampasia morrison ambae shuti lake linakuwa offtarget
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…