Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri kipenga cha mwishoEngineer Hersi amesema mechi ya leo Yanga ndio inaanza rasmi mbio za ubingwa.
Hesabu gape ya point 6 ili usiwe disappointed.
yule muarabu atatuletea kelele hapa kwa MkapaYanga hata kama wakianzisha kikosi dhaifu wasijidanganye watamtoa yule muarabu.
Walio bora wote wako team ya taifa ya vijana under 23 nigeriaTepsie Ni mzuri lakini Nkane n bora
Usiwalaumu geita ata wewe ulishindwaGeita sijui wanachezaje chezaje, yani sijui ndio presha tuseme
Wivu ni ugonjwa mbaya sana, wana maajabu gani hawa?Yanga hata kama wakianzisha kikosi dhaifu wasijidanganye watamtoa yule muarabu.
Tulia weweUsiwalaumu geita ata wewe ulishindwa
Wewe ni Tp mazembe?Wivu ni ugonjwa mbaya sana, wana maajabu gani hawa?
Unashindwa ficha ujinga that's whyTulia wewe
Basi utamtoa WwYanga hata kama wakianzisha kikosi dhaifu wasijidanganye watamtoa yule muarabu.