FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

41'

Makambo offside

Offside
Geita -4
Yanga- 3

Throw in kuelekea kwa geita
 
Hawa mashabiki wa Yanga wana alosto au namna gani?
 
42'

Fantastic save golikipa kwa geita anaokoa cross ya morrison hapa.

Mpira unasimama kupisha matibabu kwa Yondan.


Mashabiki wa yanga wanaanza kushangilia rekodi yao ya kucheza mechi 44 bila ya kupoteza.

Mara ya mwisho kwa yanga kupoteza ni tarehe 25-4-2021
 
Dkk 44
Makofi Fc
👏👏👏👏👏👏
 
Haya semeni na hiyo wana Yanga kuwa hamjabebwa
 
Sasa hao kenge hawataki tupate penati. GSM anahusikaje!!!??
 
Daniele yanga anapokea kadi ya njano kutokana na kupinga maamuzi ya ovyo ya refa.

Marudio ya picha yanaonesha kuwa mchezaji wa geita aliuanawa mpira nje ya box ila refa anasema kuwa ni penalty
 
Duh kama ndio unbeaten inatafutwa hivyo
...
 
Raymond Masota nae anapokea yellow card kutoka kwa refa wa mchongo
 
Back
Top Bottom