FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

Sio kwamba mahakama pekee ndo iliyokuwa na uwezo wa kuifunga Yanga Sc?
Hayo ni maneno ya kuchombeza tu. Ila ukweli ndiyo huo. Hata kama Yanga ingekuwa unbeaten kwa mechi 100, bado ingetokea siku ingefungwa.

Binafsi naona ni sawa tu kufungwa. Maana walicheza mpira wa hovyo kuanzia mwanzo.
 
Back
Top Bottom