FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

Simba imefungwa maoni ya mashabiki na wanachama wa Yanga

1. Timu mbovu imefika makundi kwa kupangiwa na vibonde

2. Barbra atoke anaihujumu timu

3. Mgunda sio kocha

4. Makolo wamefungwa kwa kukosa striker hatari kama Mayele

5. Chama hamna kitu huwezi kumfananisha na Azizi Ki

Yanga baada ya kufungwa

1. Siku zote mpira una matokeo matatu, kuna kudroo kushinda na kufungwa
 
Tume cheza hovyo sana leo ihefu wameupiga mwingi, ilibidi tufe zaidi ya goal nne. Wachezaji kama walikua wana lazimishwa vile, sema sio mbaya ratiba zijazo tunateleza tu.
 
Ina maana Yanga ni Feisal ?.. anyway...hongereni kwa match 49 unbeaten.
Dharau ndizo ambazo zimetuponza leo. Na tumestahili kabisa kufungwa. Mfano goli la pili, wachezaji karibia wote pale nyuma hawakuwepo mchezoni!
 
Kule kule kwenye mashamba ya mpunga jamaa akasukumia ndani mwiko wote!


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Leo nikajikuta tu naropoka mapema namwambia jamaa yangu wa Yanga kwamba, leo ndio mwisho wa unbeaten ilhali moyoni nina uhakika Yanga atashinda.

Kumbe imetokea kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…