Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sio nyeusi bebeWalivaa jezi zao nyeusi bebe
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu kamkatalia diamond kaja kumpa dogo janja [emoji1787]
Ni 49.Dharau zimetuponza, dah!
Hata hivyo hakuna timu duniani iliyofika unbeaten 50 acheni hashuo makolo
Ndio maana zile jezi nyeusi wanazipenda sana itakuwa zina uchawi waoHapana sio nyeusi bebe
Yaani niliangalia uchezaji wa leo ni kama vile hawakua kwenye mood,Kocha alipanga kikosi dhaifu sana kipindi cha kwanza. Wachezaji walikuwa wanacheza kama wako mazoezini.
Kiukweli wamestahili kabisa kufungwa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna kufungwa ila kufungwa na ihefuu
Ukituliza akili utaelewa kilichoandikwa hapoUnbeaten inahesabika ni 50 or 49 naomba kuelemishwa katika hili.
Daaah Ihefu wamezingua sana.Become bi ten 😂😂
Dharau ndizo ambazo zimetuponza leo. Na tumestahili kabisa kufungwa. Mfano goli la pili, wachezaji karibia wote pale nyuma hawakuwepo mchezoni!Ina maana Yanga ni Feisal ?.. anyway...hongereni kwa match 49 unbeaten.
Kule kule kwenye mashamba ya mpunga jamaa akasukumia ndani mwiko wote!
Yani huwa ananiboa sana 😀😀😀Japo huwa hapatani nae kabisa[emoji23].