Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mmetia aibu, tuliifunga 1 mkaongea weee, leo kiko wapi kikosi kipana Cha utoNaugulia maumivu mtani Mtoto halali na hela hawa Ihefu, wametukosea adabu. Siamini kama hawa ndiyo wametuvunjia mwiko wa Unbeaten...
Pole.Nimemaanisha hakuna timu duniani iliyowahi kufika unbeaten 50 kwa hiyo sie 49 sio haba,
Tulizeni akili
Ya Niokooo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Anibiteni ya nyokweeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2430929
Kuleni na asaliDah! Yani kwa Ihefu....?? Mbona muhogo wa leo mchungu
Hata monica kampa masanja na katibu😂😂Demu wa mjini Bana Yani kaacha vidume town kaenda kumpa mlima mpunga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ya Niokooo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ile Keki ya 49unbitet ilikuwa na maliwareHakika ni wakati mzuri kwao sasa kujipanga upya. Maana siasa za unbeaten zimekwisha rasmi.
Si mbaya mpira siku zote, una matokeo matatu. Kufunga, kufungwa na kutoka sare.Mmetia aibu, tuliifunga 1 mkaongea weee, leo kiko wapi kikosi kipana Cha uto
Na Simba tukifungwa muwe mnaelewa hayo matokeo matatuSi mbaya mpira siku zote, una matokeo matatu. Kufunga, kufungwa na kutoka sare.
Mpira pia hautabiriki, kama sasa kwenye WC. Tumeyapokea matokeo 🤨
Kitendo kilichofuatia katikati ya mchezo kuwaingiza sub nikajihakikisha kweli kumbe tulijitakia kufungwa.Nawatakia Wananchi ushindi mnono.
Full time inasemaje mdau?Imefikia hatua kuna watu wakiona nyuzi za Yanga wanaziogopa kama ukoma. 😀😀
Kila la kheri Timu ya Wananchi.
"DaimaMbeleNyumaMwiko.
Naam ndugu mjumbe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenyekiti...
Bora imetokea maanake da kila mechi kuhofia rekodi ina stress yake. Ila mmhh! Imeuma mkuuKuleni na asali