FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

Mpira sijabahatika leo kuangalia lakini mechi iliyopita Yanga walikataliwa goli halali kabisa na kuambiwa kuwa ni offside. Tufikie wakati tukubali tu kuwa Tanzania haina wamuzi makini kama kweli leo Yanga imepata goli ambalo ni la offside.. maana kubebwa habebwi Yanga pekee bali kila timu ikiwepo Simba wamenufaika kwa maamuzi mabovu ya waamuzi.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Sijaelewa point yako hapa ni nini??
 
Hili bao la Yannick Bangala dhidi ya Ihefu ni Clear Offside. Makosa ya mwamuzi yanainufaisha zaidi Yanga.
20221129_163012.jpg
 
Wachezaji wa Ihefu ni wazito, hawakimbii, hawajitumi, kifupi hawaoneshi kuutaka mchezo!

Masikitiko yangu ni kwa mmiliki wa team aliyejitoa kuwekeza kiasi kikubwa cha pesa na kuishia kusajili michezaji mizee iliyofata pesa tu.
 
Tigere anaweka kambani bao la kusawazisha..!
 
Back
Top Bottom