FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

Mmevunja mwiko wa vazi lenu la kaniki?
 
Sijaelewa point yako hapa ni nini??
 
Wachezaji wa Ihefu ni wazito, hawakimbii, hawajitumi, kifupi hawaoneshi kuutaka mchezo!

Masikitiko yangu ni kwa mmiliki wa team aliyejitoa kuwekeza kiasi kikubwa cha pesa na kuishia kusajili michezaji mizee iliyofata pesa tu.
 
Tigere anaweka kambani bao la kusawazisha..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…