Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Japo huwa hapatani nae kabisa[emoji23].Nimekupenda kwa utabiri wa leo aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo huwa hapatani nae kabisa[emoji23].Nimekupenda kwa utabiri wa leo aisee
Hakika ni wakati mzuri kwao sasa kujipanga upya. Maana siasa za unbeaten zimekwisha rasmi.END OF UNBEATEN
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Alooh hivi hawajabeba cake leoNaambiwa watu wametetemeshwaaa[emoji1787][emoji1787]
Na bahati ikawa upande wetu, yule beki 2 sub ya lamptey alikuwa na makosa mengi saana, kioa alitusave mnooIla ghana alikaza mno jana alikaba kwa nidhamu
Kocha alipanga kikosi dhaifu sana kipindi cha kwanza. Wachezaji walikuwa wanacheza kama wako mazoezini.Dharau zimetuponza, dah!
Hata hivyo hakuna timu duniani iliyofika unbeaten 50 acheni hashuo makolo
Ushabiki wa kizamani sasa Nkane alisajiliwa ili iweje, Nkane huyo huyo ndiye aliyekupa droo ktk fainal ya Azam Confederation na ukachukua ubingwa kama kupigwa tushapigwa,hasilaumiwe mtu.Watuambie Nani amemuambia kocha aanz na kina nkane
Nimecheka sanaaa aiseeNipo hapa kukukumbatia
Uko sawa mkuuUshabiki wa kizamani sasa Nkane alisajiliwa ili iweje, Nkane huyo huyo ndiye aliyekupa droo ktk fainal ya Azam Confederation na ukachukua ubingwa kama kupigwa tushapigwa,hasilaumiwe mtu.
Kuna mtu kamkatalia diamond kaja kumpa dogo janja 🤣Nyieee kuna niniiii
Kuota vipi mkuuulikuwa unaota?
Unbeaten inahesabika ni 50 or 49 naomba kuelemishwa katika hili.Dharau zimetuponza, dah!
Hata hivyo hakuna timu duniani iliyofika unbeaten 50 acheni hashuo makolo
Wamefidia Clear goal lililokataliwa na refa last match.....😀Mimi kama shabiki wa simba goli ni halali