Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki kikosi ni cha kawaida mpaka basi.Haya haya tukiwa kwenye dakika za lala salama Leo wanafainali wa kombe la shirikisho watavaana na Mbeya city pale jijini mbeya.
Mechi itaanza saa 10 kamili. Mechi hii ni muhimu zaidi Kwa upande wa Mbeya City kwani wakishinda itawanusuru na kushuka daraja. Lakini Kwa upande wa Yanga itatoa nafasi zaidi Kwa wale wachezaji ambao walikua hawapati nafasi mara Kwa mara.
Leo fundi Dickson Ambundo yupo ndani.... Kwa wazee wa mikeka hii game ipe Goli mbili plus hutakosa hela ya supu asubuhi kwa mama Amina pale na chapati zako tatu..
Kikosi cha Yanga kinachoanza ni hikiView attachment 2647874
Nasikia kuna wachezaji hasa hawa wanaocheza leo wamekosa medali ili kina Diamond, Matelephone na nanihii wapate.Haya haya tukiwa kwenye dakika za lala salama Leo wanafainali wa kombe la shirikisho watavaana na Mbeya city pale jijini mbeya.
Mechi itaanza saa 10 kamili. Mechi hii ni muhimu zaidi Kwa upande wa Mbeya City kwani wakishinda itawanusuru na kushuka daraja. Lakini Kwa upande wa Yanga itatoa nafasi zaidi Kwa wale wachezaji ambao walikua hawapati nafasi mara Kwa mara.
Leo fundi Dickson Ambundo yupo ndani.... Kwa wazee wa mikeka hii game ipe Goli mbili plus hutakosa hela ya supu asubuhi kwa mama Amina pale na chapati zako tatu..
Kikosi cha Yanga kinachoanza ni hikiView attachment 2647874
Tulikubaliana kwamba tuna kikosi kipanaHiki kikosi ni cha kawaida mpaka basi.
Bila shaka wengi wao hapo ni wale ambao hawatakuwa sehemu ya wananchi, msimu ujao.Tulikubaliana kwamba tuna kikosi kipana
Lakini tunajua ni YangaSafi sana, hicho kikosi cha yanga wala sio cha ushindi ni kukamilisha ratiba tu.
Mbona wengi ni wa Ndani?Bila shaka wengi wao hapo ni wale ambao hawatakuwa sehemu ya wananchi, msimu ujao.
unamaanisha yanga inawachezaji wakawaida mpaka basi sio?Hiki kikosi ni cha kawaida mpaka basi.
goooooooooooooo wameloaaaaaaaaaaa2 - 0