FT: NBC PREMIER LEAGUE: Mbeya City 3-3 Young Africans | 06/06/2023

Ngoja tuone baada ya kulishwa ubwabwa na kushiba, uto wataiachia timu ipi ibaki ligi kuu, ya Tulia au ya wajelajela.
 
Haya haya tukiwa kwenye dakika za lala salama Leo wanafainali wa kombe la shirikisho watavaana na Mbeya city pale jijini mbeya.

Mechi itaanza saa 10 kamili. Mechi hii ni muhimu zaidi Kwa upande wa Mbeya City kwani wakishinda itawanusuru na kushuka daraja. Lakini Kwa upande wa Yanga itatoa nafasi zaidi Kwa wale wachezaji ambao walikua hawapati nafasi mara Kwa mara.

Leo fundi Dickson Ambundo yupo ndani.... Kwa wazee wa mikeka hii game ipe Goli mbili plus hutakosa hela ya supu asubuhi kwa mama Amina pale na chapati zako tatu..

Kikosi cha Yanga kinachoanza ni hikiView attachment 2647874
Hiki kikosi ni cha kawaida mpaka basi.
 
Nasikia kuna wachezaji hasa hawa wanaocheza leo wamekosa medali ili kina Diamond, Matelephone na nanihii wapate.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom