FT: NBC Premier League | Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC | Live Updates | Manungu Stadium

Huu mchezo ulianza vizuri lakini umeisha vibaya sana. Hamuwezi kufunga tatu dakika 35 za kwanza halafu no goal kabisa baada ya hapo. Nimeudhika😑
Walevi Wawili walikutana leo, watu wenye akili tulikuwa tunaangalia pira la sayari ya mars la Mamelodi Sundowns.
 
Huu mchezo ulianza vizuri lakini umeisha vibaya sana. Hamuwezi kufunga tatu dakika 35 za kwanza halafu no goal kabisa baada ya hapo. Nimeudhika😑
Simba kipindi cha pili wawe wanaingiza wachezaji wenye kasi kama Banda, Kibu au Sakho ili kuiamsha timu. Kipindi cha pili timu huwa inalala sana.
 
Simba ina tatizo la kukata pumzi na kukosa umakini kuanzia dakika ya 30 ya kipindi cha kwanza. Tatizo hili litawaletea shida kuweza kuwashinda Horoya FC siku chache zijazo.
Wasipojirekebisha, Naona wakipigwa kipigo walichokipata Al Ahly kwa Sundowns leo
 
Wanaojua wote wapo champions league,, hawapo loser's cup
yaani unataka kuniambia vipers ni bora kuliko pyaramid,
na iwe hivi kama ulivyo nena, amina.
 
Tunachofanya muda huu ni kuwaonyesha tu kwamba champions league inachezwa objectively, what matters the most is 3 points no matter how u play,, tumerudi kwenye ligi tunampiga mtu na tunaupiga mwingi..wachambuzi wajifunze kuweka akiba ya maneno ..
Kumbe ni ligi kuu
 
Nikiwa kama mshabik wa Simba 🦁🦁🦁
Furaha yangu ni KUONA HOROYA
NA RAJA
wakichezea
Mshedede
Baleke akapige hat trick huko nje
Sija furaishwa na huu ushindi
Nilijua mtibwa hawezi dinda kwetu
Simba
Guvu
Moya
🦁🦁🦁🦁
 
Bado Simba ina matatizo, haiwezekani wakose goli zaidi kipindi cha 2
 
Hizi bangi huwa mnazivutaga Saa ngapi? Raja wakupige bao 3 bila kwako halafu kwao unawaambia nini?
 
Hizi bangi huwa mnazivutaga Saa ngapi? Raja wakupige bao 3 bila kwako halafu kwao unawaambia nini?
Nilitegemea nyinyi ma Dr. Dr Matola PhD
Muwe mnasoma Line to line Ili ku elewa content ya MTU

So sad πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜ Dr. wewe 😒😒 unatofauti gan na DR.NYEGE
PHD
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Nilitegemea nyinyi ma Dr. Dr Matola PhD
Muwe mnasoma Line to line Ili ku elewa content ya MTU

So sad πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜ Dr. wewe 😒😒 unatofauti gan na DR.NYEGE
PHD
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Udkatari wa kina doc msukuma wanaendeshwa na mihemuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…