Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Manungu kwanza. Mamelodi tutamalizana naye robo fainali. Al Ahly hawana hamu na Simba. Tulishamalizana nao kwa Mkapa mwaka juzi.Jaman kuna mechi ya ahly na maswandana huko ni hatari,achaneni na hii,mshindi anajulikanaView attachment 2546162
View attachment 2546163
KabisaHuyu Hussein kwao mtibwa au, sasa pale hata Shunie hakosi.
Mayele huko Avic anaumwa tumbo la ...Huyu baleke wasipo mdhibiti anaweza akachukua kiatu
Hivi mzee wa mikimbio ana goal ngapi huko nbcHat-Trick ya kwanza tayari
Hiyo ilikuwa 2020. Kombe la shirikisho Ni miaka mingapi mpaka sasa?mwaka gani hii na kombe gani,
una mwaka wa 5 ujui ushindi ligi kuu mbele ya yanga
Ongeza mbili wafanane na Man U [emoji23]Naona kuna goli tano hapa.
Kumbe hawa ndio loosers? ndio maana pira lina ruka ruka kama popcornlosers shirikisho