FT: NBC Premier League | Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC | Live Updates | Manungu Stadium

Anayepanga ratiba na kusimamia ratiba hajawatendea haki mtibwa hivi team imetoka kufiwa na mchezaji wake halafu baada ya mda mchache wanacheza mechi ngumu kama hii yaani hawapo sawa psychological hawana morali kabisa TFF wangelifikiria hilo hii mechi haipo fair.
 
Tunachofanya muda huu ni kuwaonyesha tu kwamba champions league inachezwa objectively, what matters the most is 3 points no matter how u play,, tumerudi kwenye ligi tunampiga mtu na tunaupiga mwingi..wachambuzi wajifunze kuweka akiba ya maneno ..
 
Anayepanga ratiba na kusimamia ratiba hajawatendea haki mtibwa hivi team imetoka kufiwa na mchezaji wake halafu baada ya mda mchache wanacheza mechi ngumu kama hii yaani hawapo sawa psychological hawana morali kabisa TFF wangelifikiria hilo hii mechi haipo fair.
Mmeanza
 
Hawa mtibwa wasipoangalia wanaweza fungwa hata kumi
Zinasaidia nini hizo goli 10! Maana hata wafungwe goli 20, bado timu itaendelea kushika nafasi ya pili mpaka mwishoni mwa msimu.

Mimi ningekuwa ndiyo kocha, ningechezesha wale wachezaji ambao hawaanzi mara kwa mara, ili wachezaji wa kikosi cha kwanza wapate muda mwingi wa kujiandaa na michezo miwili iliyobakia ya Kimataifa.
 
Natamani mechi ya leo aingie SAWADOGO NA BANDA waongeze confidence....
 
Zinasaidia nini hizo goli 10! Maana hata wafungwe goli 20, bado timu itaendelea kushika nafasi ya pili mpaka mwishoni mwa msimu.

Mimi ningekuwa ndiyo kocha, ningechezesha wale wachezaji ambao hawaanzi mara kwa mara, ili wachezaji wa kikosi cha kwanza wapate muda mwingi wa kujiandaa na michezo miwili iliyobakia ya Kimataifa.
Huyu Uto apewe kipaza atangaze huu mpira
 
Anayepanga ratiba na kusimamia ratiba hajawatendea haki mtibwa hivi team imetoka kufiwa na mchezaji wake halafu baada ya mda mchache wanacheza mechi ngumu kama hii yaani hawapo sawa psychological hawana morali kabisa TFF wangelifikiria hilo hii mechi haipo fair.
Timu yako huwa inapenda sana kukutana na timu zenye mazingira ya aina hii. Hata kipindi kile wachezaji karibia 11 wa Ruvu Shooting walikuwa mafunzoni, walipokutana; goli 7 zilihusika.
 
Vipi na Tanzania prisons au wewe mwenyewe wakati unakula 5-0
Kama ni 5 tu, hata wewe pia ulizipata kwa Waarabu na pia Wacongoman.

Na usisahau wiki chache zijazo, Taifa litaenda tena kuaibishwa kule Morocco.
 
54

Justin Mayaya anapiga shuti lakini linaenda nje ya lango hapa
 
Back
Top Bottom