FT: NBC Premier League | Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC | Live Updates | Manungu Stadium

FT: NBC Premier League | Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC | Live Updates | Manungu Stadium

Mlinda mlango anakamata mpira wa freekick uliopigwa na Chama
 
Anayepanga ratiba na kusimamia ratiba hajawatendea haki mtibwa hivi team imetoka kufiwa na mchezaji wake halafu baada ya mda mchache wanacheza mechi ngumu kama hii yaani hawapo sawa psychological hawana morali kabisa TFF wangelifikiria hilo hii mechi haipo fair.
Huna hoja mzee
 
Kuna makosa yanafanywa mara kwa mara na wachezaji na benchi la ufundi lakini kiuhalisia hayapaswi kufanywa kwa timu kubwa kama Simba. Too much back pass, kunyoosha mikono kama ishara ya faul na kuacha kuzuia mpira walidhani refa atapiga filimbi, kutojua kuusoma mchezo na kufanya sub zenye manufaa zaidi, kujisahau ndani ya uwanja na kuridhika haraka.
 
Kuna dalili ya clean sheet kuchafuliwa hapa. Wachezaji wa Simba wanaridhika haraka sana. Wajifunze kwa Miqueson, Kapombe na Bocco. Hawa wachezaji hawanaga kuridhika hata timu iwe inaongoza kwa goli 7.
 
Back
Top Bottom