FT: NBC Premier League: Simba 3-0 Ruvu Shooting : Mei 12, 2023

Simba tutembee kifua mbele .. pamoja na kukosa makombe yote tuna mengi mazuri ya kujivunia msimu huu. Ni timu pekee iliyofika robo fainali club bingwa Africa kwenye hapa Africa Mashariki, ni timu yenye idadi kubwa zaidi ya magoli na hat trick nyingi kuliko timu zote kwenye ligi ya ndani, ni timu iliyofunga magoli mengi makundi kuliko timu zote Africa kwenye mechi moja, ni timu pekee iliyoifunga Utopolo ikiwa imevaa jezi nyeusi🔥, nk..
 
Sisi tunatambaa hata tukila dagaa hatuna habareeee
 
Style ya uchezaji ya Sakho itabidi afanyiwe diet ya kuongeza mwili otherwise mwendo wa mpira ataumaliza mapema. Tuliomuona Ronaldo de Lima wataelewa nachosema hapa.
 
Mabadiliko 88'

Bocco na Banda wanaingia

Chama na Kibu wanatoka
 
yani mtu humu tu jf anakaa kutwa nzima kuchongea watu ambao hata hawajui kwa MODS je maisha ya kiuharisia huyu mtu anakuaje? Kama sio mchawi au
 
Back
Top Bottom