Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 12,445
- 27,920
Tuonyeshe medali tafadhali ya haya makombeSimba tutembee kifua mbele .. pamoja na kukosa makombe yote tuna mengi mazuri ya kujivunia msimu huu. Ni timu pekee iliyofika robo fainali club bingwa Africa kwenye hapa Africa Mashariki, ni timu yenye idadi kubwa zaidi ya magoli na hat trick nyingi kuliko timu zote kwenye ligi ya ndani, ni timu iliyofunga magoli mengi makundi kuliko timu zote Africa kwenye mechi moja, ni timu pekee iliyoifunga Utopolo ikiwa imevaa jezi nyeusi[emoji91], nk..