FT: NBC Premier League: Simba 3-0 Ruvu Shooting : Mei 12, 2023

FT: NBC Premier League: Simba 3-0 Ruvu Shooting : Mei 12, 2023

Simba tutembee kifua mbele .. pamoja na kukosa makombe yote tuna mengi mazuri ya kujivunia msimu huu. Ni timu pekee iliyofika robo fainali club bingwa Africa kwenye hapa Africa Mashariki, ni timu yenye idadi kubwa zaidi ya magoli na hat trick nyingi kuliko timu zote kwenye ligi ya ndani, ni timu iliyofunga magoli mengi makundi kuliko timu zote Africa kwenye mechi moja, ni timu pekee iliyoifunga Utopolo ikiwa imevaa jezi nyeusi[emoji91], nk..
Tuonyeshe medali tafadhali ya haya makombe
 
Hivi sub za dk 85, 86, 87, 88, 88, ...huwa lengo lake ni nn?
 
Ni yule yule[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Za chini chini nasikia sahivi nguvu zenu mmeelekeza kwenye kudai katiba mpya...🤣🤣

Nmekumiss mtani, sie hatuna presha tunasubiria kuweka tu.
Hyo katiba ikipita tumeazimia club ya Yanga ifutwe tuu maana haijashiriki club bingwa Africa miaka 30 inaishia chini huko sasa..ibaki Simba tuu 😃 😃 😃
 
Chuma cha 3 huko[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
UTO wanaumia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
BAHLABANE BA NTWA
 
Back
Top Bottom