mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Rage[emoji3581]
Ogopa sana mpangaji akijenga nyumba ya kupangisha...Ni maandalizi tu kwa sasa. Tukikosa, tutazivaa siku ya Mwananchi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naskia Mwamed kawaambia hamna kambi kila mtu atoke amekula kwake et hama hela ya kulisha lisha watu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]aibu gani tenaaa jmnOneni hata aibu
Kwanza Simba inajiandaa kwa Super League na Champions Leogue mwakani.Kila la heri Simba kwenye mechi zilizobaki, super league na maandalizi ya msimu mpya.
Vipi tena!!??Daaaaaah Chama
Mbona una makasirikoooo!!??simba wamalize mchezo watoke uko wanjani hovyo sana
Alipoteza mpira eneo muhimuVipi tena!!??
Ogopa sana mpangaji akijenga nyumba ya kupangisha...
Takwimu??
Kwa ivo hapa ulivyochangia umepoteza muda!!??Uzi wa hovyo,kuchangia ni kupoteza muuda