FT: NBC Premier League: Simba 3-0 Ruvu Shooting : Mei 12, 2023

FT: NBC Premier League: Simba 3-0 Ruvu Shooting : Mei 12, 2023

Hii game ni nyepe sana, Simba atafunga mtu goli nyingi tu
 
Chama anaipa uongozi simba
Nguvu moja
BAHLABANE BA NTWA
 
Mpaka mapumziko Simba watakua wanaongoza kwa magoli matatu, huku moja ya timu ikipoteza penati
 
Kupitia hii mechi nimegundua Hawa ndugu zetu wa Simba kweli ni ma mbumbumbu haswa
71C22D2E-4143-4942-8F89-A497E594D372.jpeg
 
Ikiwaka Mulika.....
Kila La Heri Simba Sports Club
 
Back
Top Bottom