FT: NBC Premier League: Simba 3-0 Ruvu Shooting : Mei 12, 2023

FT: NBC Premier League: Simba 3-0 Ruvu Shooting : Mei 12, 2023

NBC imerejea leo, Mechi kubwa Inayotazamiwa ni wenyeji simba vs ruvu Shooting

Baada ya Mapumziko ya wiki kadhaa sasa ngoma inarejea

Tutarajiri Nini Kutoka Kwa Simba? Au Ruvu Shooting wataendelea kuburuza mkia
Mechi itapigwa majira ya saa 1:00 usiku katika uwanja wa azam complex

View attachment 2618978

BAHLABANE BA NTWA
ZBC hawaonyeshi mbona,!?
 
Hii mechi imenunuliwa ili wafunge goli nyingi kuwafurahisha mashabiki mambumbumbu tegemea wale wachezaji wabovu nao kushinda ili waendelee kuwepo makoloni kubebeshwa ndoo za sabuni
Ruvu na wao wanahali mbaya.....labda kama wamerusha taulo
 
Back
Top Bottom