ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
BAHLABANE BA NTWA[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa! Sana yaani Mkuu.
Kama yanga [emoji3]Mnyama anakula 5-0
Sasa ukute mzee Mpili anavyocheka na yale mapengo, basi ndiyo balaa!!Hahahaaa! Sana yaani Mkuu.
Nao ni watu wa GSM.Moderator hata kama hatushindanii kombe lolote, ndio msituwekee Live alert?
Mimi nipo kwenye pitch nacgeza. Subiri afu taim tuta chat vizuriWewe upo wapi? Uwanjani au nje ya Uwanja.
Matokeo tafadhali!! Simba ngapi na Marumo Gallants wa Bongo ngapi?
Fala sanaMzamiru kakosa eti pale
Bibie acha kutuonea gere. Sasa hivi mafundi wako busy kushona suti za wananchi nchi nzima, kwa ajili tu ya kuvaa siku ya kwenda kulipokea kombe na wachezaji pale JNIA.Yang'a toka wapige bomu mochwari midomo imekua kama spika za za mwamposya..