Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,231
- 22,494
Wazee wa kufa kiume!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makojoe ulaleHuu uzi UTO hauwahusu
MARUMO 4
YANGA 0
BAHLABANE BA NTWA
KILA LA KHERI SIMBA
Mpaka saizi naona kimyaWakikujibu utanitag Mkuu. 😅
Kiume cupWazee wa kufa kiume!
Hawawezi kuja hata uwavute na winchiHivi ndo kusema mikia mumefikia huku.
Njoeni uzi wenu huu. 🤣
Hivi umetuonajePipa na mfuniko
🤣🤣🤣 pole kwao.Hawawezi kuja hata uwavute na winchi
LinatutoshaKiume cup
Hahahaaa. LolHivi umetuonaje
Dooh!Linatutosha
Au mnalitakaDooh!
ZBC hawaonyeshi mbona,!?NBC imerejea leo, Mechi kubwa Inayotazamiwa ni wenyeji simba vs ruvu Shooting
Baada ya Mapumziko ya wiki kadhaa sasa ngoma inarejea
Tutarajiri Nini Kutoka Kwa Simba? Au Ruvu Shooting wataendelea kuburuza mkia
Mechi itapigwa majira ya saa 1:00 usiku katika uwanja wa azam complex
View attachment 2618978
BAHLABANE BA NTWA
Kikosi cha kauka nikuvae
Ruvu na wao wanahali mbaya.....labda kama wamerusha tauloHii mechi imenunuliwa ili wafunge goli nyingi kuwafurahisha mashabiki mambumbumbu tegemea wale wachezaji wabovu nao kushinda ili waendelee kuwepo makoloni kubebeshwa ndoo za sabuni
Halitufai hilo. 😅Au mnalitaka