Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oneni hata aibuGooooooal lChamaaaaaa
Afadhali. Maana kama alizingua mara ya kwanza basi bora amefunga.Gooooooal lChamaaaaaa
Kumbe tayari mshabeba Kombe!!Bibie acha kutuonea gere. Sasa hivi mafundi wako busy kushona suti za wananchi nchi nzima, kwa ajili tu ya kuvaa siku ya kwenda kulipokea kombe na wachezaji pale JNIA.
Uto sijui mkoje...Kupitia hii mechi nimegundua Hawa ndugu zetu wa Simba kweli ni ma mbumbumbu haswa
KwambaOneni hata aibu
Kupitia hii mechi nimegundua Hawa ndugu zetu wa Simba kweli ni ma mbumbumbu haswa
Ni maandalizi tu kwa sasa. Tukikosa, tutazivaa siku ya Mwananchi.Kumbe tayari mshabeba Kombe!!
Ndiyo washaweka...Ifikie wakati tuwe tunawaonea huruma Moderator wetu! Ma wenyewe wanachoka bhana. Kama vipi waendelee tu kupumzika.
Yaani hata kamechi kadogo namna hii nako kawekewe live alert!!