sunguramjinga
Senior Member
- May 11, 2023
- 175
- 227
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo hivyo hadi akili zitakukaa sawaDaaaaaah Chama
Tulia wewe hii shuhuli sio yako usiivalie kibwebweHivyo hivyo hadi akili zitakukaa sawa
Aise wakupe uafisa hbr tu siyo kwa kutetea timu lako bovu hakika unaweza kuipambania vyemaTulieni sisi hatupoagi wala hatuboi
Simba nguvu moja
Yang'a toka wapige bomu mochwari midomo imekua kama spika za za mwamposya..
Mguu kwa mguu hatuwezi kuwaacha mpate mfadhaiko wa akiliTulia wewe hii shuhuli sio yako usiivalie kibwebwe
Yang'a toka wapige bomu mochwari midomo imekua kama spika za za mwamposya..
kinachoendelea apo uwanjani ni mambo ya hovyo kuwahi kushuhudiwaMbona una makasirikoooo!!??
Kombe hiliView attachment 2619333
Uzuri wa kombe umfunge mtani wako
Nguvu moja [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Upo jirani...mtani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yang'a toka wapige bomu mochwari midomo imekua kama spika za za mwamposya..
Itakuwa kuna papuchi mpya anayoichakata inampotezaIla Chama sometimes