FT: NBC Premier League: Simba 3-0 Ruvu Shooting : Mei 12, 2023

FT: NBC Premier League: Simba 3-0 Ruvu Shooting : Mei 12, 2023

Sakho anataman kucheza na jukwaa ila anaona Haina faida yoyote anabaki tu kupotezeaaa
 
Chuma cha 3 huko[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
UTO wanaumia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
BAHLABANE BA NTWA
Lazima waumie. Bado gap la points 4 tu. Kudadadeki.
Lazima wavute pumzi ya Moto.
 
Yani kagame hata hakana mzuka hapa ni kama unashangalia ndani ya chumba chenye mwangwi
Hii ilikuwa ni NBC haikuwa Kagame
Screenshot_20230512-232849.png
 
Back
Top Bottom