FT: NBC Premier League | Simba SC 2- 0 Kagera Sugar | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Nasiki Orlando wanataka kumng'oa kocha wetu Pablo wamemtengea kitita cha maana
 
Kwa Kweli Kiwango Kizuri cha Footwork hapa kinaonekana kwa Pande zote mbili Sio Lile pira Papatu Papatu la Utopolo dhidi ya prison .!
 
Halafu huyu Kagera kwanini asishule daraja tu... maana hata kumfuata huko kwao kucheza nae ni kama unaenda Afrika Magharibi kwa Asec.

Halafu akiwa kwao anakuwa mgumu kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…