FT: NBC Premier League | Simba SC 2- 0 Kagera Sugar | Uwanja wa Benjamin Mkapa

FT: NBC Premier League | Simba SC 2- 0 Kagera Sugar | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Hivi dada yako Shadeeya yuko wapi? Ukikutana nae mwambie namtafuta sana.

Aje na ile keki.
Huyu hapa anaukimbia uzi na mwenzake ukikaidi utapigwa2

giphy (35).gif
 
Halafu niwatakie usiku mwema. Ila tu nawakumbusha watu kumtimiza ahadi yake Mayele ya ng'ombe wake wawili wa maziwa. Mtakosa ubingwa kimasihara jamaa atakuwa anapaisha tu mipira kuelekea Kizota.
20220511_211113.jpg
 
Cc. Proved OKW BOBAN SUNZU Scars ntazana ntazana Shadeeya Numbisa ukikaidi utapigwa2 Pettymagambo

Wameshaanza kupandisha presha. Badala ya wao kushinda wanaombea wenzao wafungwe ili wao wawe mabingwa😂🤣☝️

Bingwa anapatikana kwa kushinda sio kulilia wenzio washindweView attachment 2221034
Ngoja kwanza waendelee kuchukua ka point kamoja kamoja kama wanaokota shanga

Jumapili wanakutana na mbeya kwanza ambao ndio wa mwisho kwenye msimamo

Na hiyo ni moja ya mechi muhimu kwa mbeya kwanza ambayo ipo kwenye mahesabu yao kwasababu point tatu zinawatosha wao kupanda nafasi tatu xa juu.

Sidhani kama itakuwa tayari kupokea bahasha kwa hali waliyokuwa nayo
 
Sisi pia tunazihitaji hizo points
 
Halafu huyu Kagera kwanini asishule daraja tu... maana hata kumfuata huko kwao kucheza nae ni kama unaenda Afrika Magharibi kwa Asec.

Halafu akiwa kwao anakuwa mgumu kweli
Hata mechi hii ilikua ngumu
Goli lenu la kwanza ni uzembe wa kipa au labda alisharushiwa muamala..maana mpira unapita mbele yake taratibu anauangalia tu

Goli lenu la pi ni clear off side

Kwa umiliki mzuri waliokua nao kagera na leo pia mlikua mbalala,juhudi zenu za nje ya uwanja zimewabeba.
 
Back
Top Bottom