Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
- Thread starter
- #181
goli la bookooo apewe saidoo tujazie
Classmate acha uchokozi nenda kwenye uzi wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
goli la bookooo apewe saidoo tujazie
mwenyewe nimeshangaa sanaHuyu naye kimbelembele tu alishindwa kumpasia Saido?
Hahaha 😂😂😂😂😂😂 daaahgoli la bookooo apewe saidoo tujazie
Dalili zipo lakini?Saidoo anatakiwa funga goli nne leo
Teh teh 😂😂 anazingua sio ?Huyu naye kimbelembele tu alishindwa kumpasia Saido?
pame niniJamaniiii mipira ya kumalizaa apewee saidooo, afu mbelee mbna km pamepwayaa, aaaah
Huyu naye kimbelembele tu alishindwa kumpasia Saido?
ukijibiwa nitagMpaka sasa ubao wa Takwimu za Ufungaji Bora upoje!?
Sub kwanza zimefanyika au kocha ndio anasikilizia mida mibovu ya dakika ya 75 ndio afanye kama kawaida yake?Jamaniiii mipira ya kumalizaa apewee saidooo, afu mbelee mbna km pamepwayaa, aaaah
Hebu huko nawee khaaaah,pame nini
YANGA HAINA JOBLES WENGI KAMA WANGA FCYanga uzi wao umedoda.
Uto haina watu wa mpira. Bali ina mashimpedede vipiga kelele visivyojua lolote.
Wanachojua ni Mayele tu.
Afanye wapii, kyombo sijui hata anafanya nn humu ndanii, atokee njee, saidooo anakosa wa kumlishaa mipiraa aaah.Sub kwanza zimefanyika au kocha ndio anasikilizia mida mibovu ya dakika ya 75 ndio afanye kama kawaida yake?
SAIDOO atapewa kamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiatu cha mwaka huu nomaaa.
Mayelee kafunga huko, woiiiiiih
Mkubwa upo🙄🙄Nenda Saido sisi zetu dua
Mipira inafika mbele japo sio kwa kiwango kikubwaDalili zipo lakini?
Maana kipindi cha kwanza kilikuwa hovyo sana
Unajua unanivunja mbavu sana leo? natafuta comments zako tu🤣🤣🤣🤣Pumbaaaaavu sasa nawatukana wajinga nyie ebu leteni update alaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahSAIDOO atapewa kamba