Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niwachee kwan bhanaaa.waooo njoo nikumbate
[emoji7]Hahahaaa! Hatimaye mumekuja. [emoji23][emoji23]
Go go Mayele. Kiatu chako kipo. Teh teh
lakini naona wamepiga goli la 3 apoPame “pwaya” eti
nini kimetokea (in mwamposa's voice)Saidooooooooooooooooooooo!!!!!!
NaPita tu, I mean no malice to nobodyNipo son ,kumtizama Saido anavyojaribu kutufuta chozi la huzuni japo dua naziona kugonga mwamba
Unasema????Saido bora akae benchi [emoji1][emoji1][emoji1] Hamna kitu pale analazimisha
NtibanzokizaaaHilo la tatu kaweka nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nini kimetokea (in mwamposa's voice)
Mzee wa Bujumburaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]La tatu Katia nani!?
Unawaonea, Vipaumbele vya makocha si kumfanya saido awe mfungaji bora. Ni ushindi. Kama ushindi utakuja kupitia saido sawa.Saido akikosa kuchukua kiatu wakulaumiwa ni makocha kwa kudharau mechi