FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

Unawaonea, Vipaumbele vya makocha si kumfanya saido awe mfungaji bora. Ni ushindi. Kama ushindi utakuja kupitia saido sawa.
Saizi kipaumbele hakiwezi kuwa ushindi kwasababu ushindi haubadilishi chochote.

Ukishinda bado unabaki nafasi ya pili

Ukifungwa bado unabaki nafasi ya pili.

Hakuna ushindi wowote ambao utakuwa na value kwako.

Hivyo value ikiyobaki ni kutoa wachezaji bora na wafungaji bora.

Tayari unaye Saido ambaye ana goli 15 nyuma ya Mayele kwa bao 1.

Hii haikuwa game ya kuja na plan za kushinda, ilikuwa ni game ya kuja na plan za kumiliki mpira eneo la mwisho ili Saido afunge.
 
Ana 17 kwa sasa mzee waBujumburaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…