Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Mayele kajinyea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We always win usless games,I hear people shouting,it is non sense
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
HahahaMayele kajinyea
Sio kwamba anakula peke yake? Maana idadi ya mechi alizocheza ni chacheSaidoo piga goli nyingine mbili hapo, sitaki ugawane kiatu na mjinga yeyote
huwa tunanyofoa breki, kwani vepeHili gari la Simba likifika kwenye mitremko huwa linakimbia kichizi.
Simba ni jitu kuuuuubwa likiamua mambo yakeHahaha
wacha banaGoool mayele
Ndo timu weki hiyoKibu D anaongoza kampeni ya kutafutia Saidoo magoli
Aaaa sanaaaSimba ni jitu kuuuuubwa likiamua mambo yake
na kakizungu kako ka mchongoWe always win usless games,I hear people shouting,it is non sense
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Saizi kipaumbele hakiwezi kuwa ushindi kwasababu ushindi haubadilishi chochote.Unawaonea, Vipaumbele vya makocha si kumfanya saido awe mfungaji bora. Ni ushindi. Kama ushindi utakuja kupitia saido sawa.
nini kimetokea (in mwamposa's voice)
Hayo ya idadi ya mechi alizocheza mtajua nyie, mimi nataka aweke kamba nyingine mbili zitatosha..Sio kwamba anakula peke yake? Maana idadi ya mechi alizocheza ni chache
Kidume mwenzio huyo. Shauri yakowaooo njoo nikumbate
Ana 17 kwa sasa mzee waBujumburaaaa.Saizi kipaumbele hakiwezi kuwa ushindi kwasababu ushindi haubadilishi chochote.
Ukishinda bado unabaki nafasi ya pili
Ukifungwa bado unabaki nafasi ya pili.
Hakuna ushindi wowote ambao utakuwa na value kwako.
Hivyo value ikiyobaki ni kutoa wachezaji bora na wafungaji bora.
Tayari unaye Saido ambaye ana goli 15 nyuma ya Mayele kwa bao 1.
Hii haikuwa game ya kuja na plan za kushinda, ilikuwa ni game ya kuja na plan za kumiliki mpira eneo la mwisho ili Saido afunge.
ikisha hivi inakuwaje kwaniBado dakika 10 jaman