Mpigie Yesu makofi.Kuna kijana mmoja kutoka huko Burundi alikuwa hajulikani na wengi hasa katika medani za kiatu cha dhahabu ila sasa amemsabbishia maumivu kijana mmoja kutoka Bukavu congo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jamanii khaaaah.Mpigie Yesu makofi.
Vipi Mkuu dalili zipo au bado wanapishana kama mwanzo?Simba Sc lazimisha mambo hapoo
Mpigie Yesu makofi.
Tuna jambo letu hapa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jamanii khaaaah.
Tuko kwao, mara moja moja nao wanafika kwetuVipi Mkuu dalili zipo au bado wanapishana kama mwanzo?
Yote imeanza Saa 9:30 ila kwasaizi ingeisha tu maana Saido kaishapata tulichokuwa tunatakaKwani mpira ulianza saa ngapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuna jambo letu hapa.
Saido atoke na hattrick au dual hattrick kama muda bado upoTuko kwao, mara moja moja nao wanafika kwetu