Huyu nae fungu la kukosa, sijui yukoje.!!
Mechi imeishaaaMechi zimeisha zote?
Maana mechi ya Yanga siiamini refa anaweza kuongeza dakika 15
Saidoo ana assist zaidi ya 10 hukooKafunga Bangala ila Mayele anasikitika sijui kwa nini. Kiatu anaondoka nacho Saidoo
Ila naona wanasema watagawana ufungaji bora sasa sijuiSaidoo ana assist zaidi ya 10 hukoo
Mayele hana penati.Kati ya mayele na saidoo, nan ana penalty nyingi?? Maana kwa asist saidoo yuko juu.
Kwa penalties nan anazo nyingi?? Maana kabla ya,asist wanatazama mabao ya penalties.Saidoo ana assist zaidi ya 10 hukoo
Kwan saidoo anayoo??Mayele hana penati.
Hakiwezi halafu anazungumza asivyovijua.na kakizungu kako ka mchongo
nyoosha lugha kwanza kabla hujaisema vibaya simba
MAMA atuite hata ikulu jamani tumurudishe toto yangaTutafanya na sisi Paredi ya kiatu cha Ufungaji Bora
Hakuna ubaya, ngoja anakuja kukuhug.kuhug mtu kuna ubaya kumbe
Ila naona wanasema watagawana ufungaji bora sasa sijui
Mmekua wachawi kabisa nyieeMpira umeishaaaaaaaa!!!!!!