Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
KInaamza penalty kama wote wangefanana bao 2 za penalti Kila mmoja. Ndo wangemalizia assist/ involvement
Dada mambo ni mengiii hata hatujui badoo.
Kuna wanao sema, yana angaliwa mabao ya penalties, na wengine assist. Sasa wachaa tusubirii tuonee
Ila nilionaa wangetoa wapate wotee tyuuh, kuepushaa kero na lawamaa.