FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

KInaamza penalty kama wote wangefanana bao 2 za penalti Kila mmoja. Ndo wangemalizia assist/ involvement
Dada mambo ni mengiii hata hatujui badoo.
Kuna wanao sema, yana angaliwa mabao ya penalties, na wengine assist. Sasa wachaa tusubirii tuonee

Ila nilionaa wangetoa wapate wotee tyuuh, kuepushaa kero na lawamaa.
 
Msimamo wa wafungaji ni huu.
Sasa ya kupitwa 2 yanatoka wapii??
FB_IMG_16863232572388356.jpg
 
Ni MUDA wa sisi MAKOLO kukaa pembeni na kuangalia wanaume wanavyokabidhiwa mwali 🏆🏆🏆
 
Back
Top Bottom