mama awezi tena,nyie wakuiba vijiko vya tafrija kweli?MAMA atuite hata ikulu jamani tumurudishe toto yanga
Hata mechi na Polisi alikosa goli baada ya kumnyima Saido pasi ambayo ingemuwezesha kufunga goli rahisi.Bocco kanikera sana. Ile ni husda
Tutafanya na sisi Paredi ya kiatu cha Ufungaji Bora
Hahaaaaa, vijana bwana. Kwahiyo wataitwa Ikulu na kufanya Parade ya kuonesha kiatu cha dhahabu? Mbona ngoma sare jamaa wanagawana hiyo ya Assist sijui magoli ya Penalti ni blah blah tu.MAMA atuite hata ikulu jamani tumurudishe toto yanga
Mimi mwenyewe nimeshangaa ila ndiyo mtangazaji alivyosema, labda alitaka kumpoza tu Mayele.Hakuna hicho kitu
Saidoo apewe kambaicho cha kugawana [emoji23]
Hizi ndizo habar nnazopenda kuzisikia.Km kigezo ni penalties,
Anachukua mayelee, maana hana goal LA penalty, ila saidoo ana penalties 2.
Penalti ni goli la timu sio mchezajiHizi ndizo habar nnazopenda kuzisikia.
ha ha ha ha....MAMA atuite hata ikulu jamani tumurudishe toto yanga
Tff wanadai haitumiki hiyo.. wanatengua penaltiView attachment 2651347
Hii Inatumika na Tanzania?
Tff wanaotumia penalty. Mpka sasa tff rank inaonekan ntibazonkiza kapitwa 2Nyiee inasemekanaa kigezo ni asist na sio penalties.
Mkilingana mabao, kinachoangaliwa ni assist,
Wacha tusubiriii sasa tuone.
Km kigezo ni penalties,
Anachukua mayelee, maana hana goal LA penalty, ila saidoo ana penalties 2.
Hawajapata hata goli moja.Mechi ya mbeya city vip?
Kanuni za TFF zinasema wataangalia marejeo ya Sheria za FIFA..ambayo ndiyo hiiView attachment 2651347
Hii Inatumika na Tanzania?