Labda ndondoHizi kanuni ni za shirikisho lipi?
Update inaonesha Mayele ana 18 ntibazonkiza ana 16 muda huuHizi kanuni ni za shirikisho lipi?
Si TFF au??Hizi kanuni ni za shirikisho lipi?
Update inaonesha Mayele ana 18 ntibazonkiza ana 16 muda huu
Kapitwa 2 kwa kuwa na hizo penalties??Tff wanaotumia penalty. Mpka sasa tff rank inaonekan ntibazonkiza kapitwa 2
Ndio jibu hilooo. Wao waache wakawangie sisi tunasambaza boli tu.. n hatuliiti sambaloketo Wala niniKapitwa 2 kwa kuwa na hizo penalties??
Basi sawaa.
Ngoja tumwachie karia aamueView attachment 2651347
Hii Inatumika na Tanzania?
Walahi tutaenda CAS.Kwa penalties nan anazo nyingi?? Maana kabla ya,asist wanatazama mabao ya penalties.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tusubiri tuonee itakuajee.Ndio jibu hilooo. Wao waache wakawangie sisi tunasambaza boli tu.. n hatuliiti sambaloketo Wala nini
Mbna pambeeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walahi tutaenda CAS.
Dogo naomba report...Mbna pambeeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada mambo ni mengiii hata hatujui badoo.Dogo naomba report...
Kiatu tunacho au hatuna?
Doh!!!Mambo ni mengi...Dada mambo ni mengiii hata hatujui badoo.
Kuna wanao sema, yana angaliwa mabao ya penalties, na wengine assist. Sasa wachaa tusubirii tuonee
Ila nilionaa wangetoa wapate wotee tyuuh, kuepushaa kero na lawamaa.
Mm nilisema hapa. Dogo wao sijui wamemtoa wapi kapitwa goli 2Makolo hamtafanya paredi la mfungaji boraView attachment 2651383
Makolo hamtafanya paredi la mfungaji boraView attachment 2651383
Kwa kweli wacha tuonee.Doh!!!Mambo ni mengi...
Wacha tuone..