FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

Naona wanamshambulia Mzize huko kwa Mayele kukosa kiatu sijui amefanya nini
 
Dogo naomba report...
Kiatu tunacho au hatuna?
Dada mambo ni mengiii hata hatujui badoo.
Kuna wanao sema, yana angaliwa mabao ya penalties, na wengine assist. Sasa wachaa tusubirii tuonee

Ila nilionaa wangetoa wapate wotee tyuuh, kuepushaa kero na lawamaa.
 
Doh!!!Mambo ni mengi...
Wacha tuone..
 
Makolo hamtafanya paredi la mfungaji bora
IMG-20230609-WA0078.jpg
 
Back
Top Bottom