Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Dada mambo ni mengiii hata hatujui badoo.
Kuna wanao sema, yana angaliwa mabao ya penalties, na wengine assist. Sasa wachaa tusubirii tuonee
Ila nilionaa wangetoa wapate wotee tyuuh, kuepushaa kero na lawamaa.
Basi sawaaa, tusubiri tuonee.KInaamza penalty kama wote wangefanana bao 2 za penalti Kila mmoja. Ndo wangemalizia assist/ involvement
Wewe subiri utaamini muda huuMsimamo wa wafungaji ni huu.
Sasa ya kupitwa 2 yanatoka wapii??View attachment 2651396
PoaaaahWewe subiri utaamini muda huu
Ndiyo kapewa?Saidoo the kingggg
Nini?Ndiyo kapewa?
Golden bootNini?
Bado ...ila mimi kwangu ndo king wa mabuti yote ya TanzaniaGolden boot
Hatimaye Simba tumebeba kombe letu la msimu (kiatu cha Saidoo)Jamaniiii mipira ya kumalizaa apewee saidooo, afu mbelee mbna km pamepwayaa, aaaah
Assist zitaamua wa kubeba kiatuhapa kutatokea kizungumkuti
..........goal ni goal tu bila kujali ni penalty, faul au free kick maana zote ni sehemu ya mchezoKm kigezo ni penalties,
Anachukua mayelee, maana hana goal LA penalty, ila saidoo ana penalties 2.