FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

Ila Maisha yanaenda mbio sana
Leo hii Simba wanashangilia mfungaji bora ,yaani the whole season contented 4 different competitions and then they had nothing
Kwa kweli ukicheza kidogo unajikuta umezeeka na hali huna hata kibanda Cha kuweka ubavu
Tupambaneni na maisha maana yanaenda kasi balaa
 

Bora sisi
Tulichukua miaka 4 mfululizo na mfungaji Bora alikuwa anatoka simba
Ubingwa bila ufungaji bora ni sawa sahani tu
 
Mmepigwa kwny mshono..manywele wenu hana bahati

Dada nenda utakuja baadae . Mayele kasema hataki bugudha na ame cancel appointment zote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
KILICHOMNYIMA KIATU MAYELE MWAKA JANA NDICHO KILICHOPO SASA KWA NTIBAZONKIZA. TUSUBIRI TUONE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…