FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

Ila Maisha yanaenda mbio sana
Leo hii Simba wanashangilia mfungaji bora ,yaani the whole season contented 4 different competitions and then they had nothing
Kwa kweli ukicheza kidogo unajikuta umezeeka na hali huna hata kibanda Cha kuweka ubavu
Tupambaneni na maisha maana yanaenda kasi balaa
 
Bora sisi
Tulichukua miaka 4 mfululizo na mfungaji Bora alikuwa anatoka simba
Ubingwa bila ufungaji bora ni sawa sahani tu
 
FyMOy4VWcAAoZNK.jpeg
 
Mmepigwa kwny mshono..manywele wenu hana bahati
352554060_230719219711300_6808355178127867784_n.jpg

Dada nenda utakuja baadae . Mayele kasema hataki bugudha na ame cancel appointment zote 😂😂😂😂
 
KILICHOMNYIMA KIATU MAYELE MWAKA JANA NDICHO KILICHOPO SASA KWA NTIBAZONKIZA. TUSUBIRI TUONE
 
Back
Top Bottom