FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

Aloooo Sub ndio hiziii!!!!

Kwa Sub hizi sioni nafasi ya kutawala mpira eneo la mwisho

Mayele ana nafasi kubwa ya kuchukua kiatu.
Dah!...ndio imeisha sio ?....
 
Naona hata haieleweki kama inachezwa ama laa? Nikiangalia livescore naona haijaanza bado
 
Ushakubali Saidoo kapoteza mbio ? Au umekosa imani na hizo sub tu ?
Sub zimeniikata stimu yani kule mbele kupo hovyo hakuna aliyeonekana ku hold mpira kwa sekunde hata 10 bila kupoteza.

Pasi nyingi zinapotea halafu hawana hata ile spirit ya kupambana kuirudisha mpira.

Angalia mechi ya Yanga wanavyocheza, yani hawaruhusu Prisons wapate utulivu wakiwa na mpira

Jpo wao wameenda na kikosi cha kwanza lakini hata Prisons naye ni mgumu sio sawa na Coastal.

Hii mechi Simba kama walicheza vile kwa showoffs na kwamba kwa kikosi kile kile wanaweza wakaugeuza mchezo basi sawa.

Ila kama walicheza vile kwasababu walizidiwa na Coastal basi hakuna namna hii mechi Saido kuweza kupata mipira ya mwisho itayomsaidia kufunga magoli na kuweza kuwa mfungaji bora.
 
Kuna rafik yangu mmoja yeye ni Simba kanipanga eti anataka kuhamia Yanga ila anaona jau kadamnasi itamcheka anaomba ushauri eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…