Uzi wenu umedodo mpo huku mnahaha😀😀😀 kibabuuu anahah na makolo kwinyoooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi wenu umedodo mpo huku mnahaha😀😀😀 kibabuuu anahah na makolo kwinyoooooo
Aloooo Sub ndio hiziii!!!!
Dah!...ndio imeisha sio ?....Aloooo Sub ndio hiziii!!!!
Kwa Sub hizi sioni nafasi ya kutawala mpira eneo la mwisho
Mayele ana nafasi kubwa ya kuchukua kiatu.
Nimerudi home sitaangalia kipindi cha piliDah!...ndio imeisha sio ?....
[emoji23][emoji23][emoji23]leo mpaka Sinema zetu inaonesha boli[emoji23][emoji23][emoji23]
Ushakubali Saidoo kapoteza mbio ? Au umekosa imani na hizo sub tu ?Nimerudi home sitaangalia kipindi cha pili
Usiharakishe hivyo. Bakibaki hadi mwisho, kwani unaishi mbali?😃Nimerudi home sitaangalia kipindi cha pili
Naona hata haieleweki kama inachezwa ama laa? Nikiangalia livescore naona haijaanza badoAzam wangekuwa watu wa mpira kweli wangejua mechi muhimu leo mojawapo ni ya KMC vs Mbeya City. Mechi hii inainfluence mechi zaidi ya 3 ikiwemo ya Simba vs Coastal, ya Yanga vs Prisons na ya Geita. Badala yake wanaonyesha mechi isiyo na maana ya Dodoma Jiji vs. Ruvu.
Sub zimeniikata stimu yani kule mbele kupo hovyo hakuna aliyeonekana ku hold mpira kwa sekunde hata 10 bila kupoteza.Ushakubali Saidoo kapoteza mbio ? Au umekosa imani na hizo sub tu ?
La piliSaidoooooo, dah ilikuwa bado kidogo tu [emoji134][emoji134]
😂😂😂 Safari hii sisi ni mikia kabisa, makolo²Saidoooooo, dah ilikuwa bado kidogo tu 🙆🙆