FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

Carasco Putin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
10,644
Reaction score
32,375
IMG_7755.jpg
Ligi ya NBC premier league msimu wa 2022/2023 leo Ijumaa inafikia tamati. Mnyama akiongozwa na NTIBAZONKIZA anayetikisa dunia kwa sasa watashuka dimbani mnamo saa 3:30 mchana dhidi ya mahasimu wao coastal Union kutoka Tanga

Hakika watakuletea mpira wenye kuvutia wenye kiwango cha kimataifa
Saido.jpg

Kikosi cha Simba​
 
Mkuu dah nilikuwa nishasahau acha nikawape Simba mkeka wa over 4.5 goals
 
Washakula likizo kitambo sana.

Chama
Phiri
Kanoute
Husein
Mzamiru
Sakho
Onyango
Inonga
N.k
 
Kwa hiyo nijilipue 2.5 over game yote
Mi mechi nzima nimeweka 3.5 naimani itatoa, pia kwa yanga kule lazima watafungana tu maana Prison hayuko vibaya kufumania net za mpinzani hata kama atafungwa.
 
Back
Top Bottom